Ukitaka kujua tabia ya mwanaume, Tazama vizuri anavyoishi na Watoto na Sio Watu wa rika lake.
-J.K. Rowling
Kwa maneno matatu naweza kuelezea kilakitu nilichojifunza kuhusu Maisha, "Yana Kwenda Mbele"
-Robert Frost
Cheza kama vile hakuna anae kutazama,
Penda kama vile hutakuja uumizwe,
Imba kama vile hakuna anae kusikia
Na ishi kama vile upo pepo ya duniani.
-William W. Purkey
Kua kama ulivyo na sema unachojisikia, Kwasababu wale wanao kuchukia hawana faida kwako na wale wenye faida kamwe hawawezi kukuchukia.
-Bernard M. Baruch
Mambo haya mawili hayana mwisho, Ulimwengu na Upumbavu, Sina hakika kuhusu ulimwengu
-Albert Einstein
Fanya kazi kama vile huhitaji fedha,
Penda kama vile hujawahi kuumizwa,
Cheza kama vile hakuna anae kutazama.
SwahiliQuotes
Mafanikio hayaji kama ajali, Bali huja kwa kazi ngumu,Uvumilivu,Kujituma,Kujifunza,Kujitoa na zaidi ya yote Upendo kwa kile unachofanya au kujifunza kufanya.
SwahiliQuotes
Ipo furaha ya aina moja tu katika maisha, Nayo ni Kupenda na Ukapendwa.
SwahiliQuotes
Ni wewe pekee unayeweza kubadili maisha yako, Hakuna mwingine anayeweza kukubadilishia.
SwahiliQuotes
Usipende kusikiliza chochote unachoambiwa kuhusu mtu yoyote, hukumu kila mtu na kila kitu kwa jinsi unavyokiona wewe mwenyewe.
SwahiliQuotes
Kitu kigumu zaidi katika maisha ni Kuamua, Unaweza kufanya chochote unachotaka kufanya,Unaweza kutenda na kubadili maisha yako kabisa ikiwa tu utaamua.
SwahiliQuotes
Hebu tujitolee leo yetu ili watoto wetu wawe na kesho bora.
SwahiliQuotes
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)